Psalms 33:4-5


4 aMaana neno la Bwana ni haki na kweli,
ni mwaminifu kwa yote atendayo.
5 b Bwana hupenda uadilifu na haki;
dunia imejaa upendo wake usiokoma.
Copyright information for SwhNEN